Atoke,Asitoke? 3D
Original price was: KSh272.00.KSh245.00Current price is: KSh245.00.
Hiki ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa darasa la tatu katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
ISBN: 9780195733495
KSh272.00 Original price was: KSh272.00.KSh245.00Current price is: KSh245.00.
Hiki ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa darasa la tatu katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
ISBN: 9780195733495
Tuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni.Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga ,nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusika
Siku hii naikumbuka kama jina langu…..
ISBN : 9789966342355
Huu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.
ISBN: 9789966140029
Ali ni mwanafunzi wa Darasa la Kwanza. Mahali anakoishi kuna vitu vya aina nyingi. Vitu hivyo vina rangi mbalimbali. Ali anazipenda rangi hizo. Ungana na Ali katika kitabu hiki. Utajua vitu na rangi zake.
ISBN: 9789966342676
Panya Mjanja Mtegoni ni kitabu cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?”
ISBN: 9789966788689
Kuku leaves her six chicks alone in the hut. She goes to buy food at the market.
The naughty chicks wander outside. Unfortunately, an enemy awaits them in the tree. How do they escape?
This is an interesting story that encourages readers to appreciate their neighbours and friends.
The story also warns readers to listen to advice.
ISBN: 9789966075703
Reviews
There are no reviews yet.