Huenda Nikabwia Sumu na Hadithi Nyingine by Zuhura Asman
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.
Kila binti darasani alimwangalia Ali kwa hamu ya kutoka kusemezwa tu.
Makubwa hayo! Mbona tulikuwa tuliyofanya mambo yaliyostahili kwa wakati ambao
haukustahili Ni dhahiri shahiri kuwa ulikuwa ni wakati wa kusoma wala si wakati wa kuchumbiana.
Zuhura Asman ni mkereketwa wa Kiswahili anayejikita katika kuendeleza lugha katika viwango vyote.
Hadithi zake nyingine ni Macho na Mwalimu Wangu Mpenzi
ISBN: 9789966188526
Reviews
There are no reviews yet.