Kamusi kuu ya Kiswahili by Longhorn
KSh1,933.00 Original price was: KSh1,933.00.KSh1,740.00Current price is: KSh1,740.00.
kamusi kuu ya kiswahili
ISBN: 9789987020980
Related products
-
Rated 0 out of 5
Kamusi ya Semi-Toleo Jipya by Ndalu, Kingei
KSh888.00Original price was: KSh888.00.KSh800.00Current price is: KSh800.00.Add to cartToleo Jipya Ia Kamusi ya Semi ndicho kitabu cha pekee kilichokusanya zaidi ya semi elfu nne. Kitabu hiki kinajumuisha semi, maana yake, pamoja na mifano faafu. Ufafanuzi wa msamiati umetiliwa maanani huku maana kadhaa za semi zikitolewa. Aidha, semi zilizomo humu kitabuni zimepangwa kialfabeti ili kurahisisha urejeleaji. Toleo hili Jipya Ia Kamusi ya Semi ni kitabu kinachowafaa wanafunzi na walimu wa kila daraja: shule za msingi, za upili na hata vyuo vikuu. Hii ni dafina kuu kwa wapenzi wote wa lugha na fasihi ya Kiswahili. Kitula King’ei ni mwalimu, mwandishi, mtafiti na msomi wa lugha na fasihi ya Kiswahili aliye na tajriba kubwa sana. Kwa sasa, ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ahmed Ndalu amefundisha Kiswahili katika shule za upili na vyuoni, na vile vile kuandika vitabu kadhaa. Hivi sasa, amestaafu kazi ya ufundishaji na anajishughulisha na utafiti na uandishi wa vitabu vinavyoshughulikia nyanja tofauti tofauti za Kiswahili.
ISBN: 9966465405
-
Rated 0 out of 5
Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn
KSh1,388.00Original price was: KSh1,388.00.KSh1,250.00Current price is: KSh1,250.00.Add to cartKamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4)Â ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
ISBN: 9789987020973
-
Rated 0 out of 5
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition by Oxford
KSh1,316.00Original price was: KSh1,316.00.KSh1,185.00Current price is: KSh1,185.00.Add to cartKamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.ISBN: 9780195746167
-
Rated 0 out of 5
Mentor CBC Atlas Grade 4-6. by Mentor
KSh1,222.00Original price was: KSh1,222.00.KSh1,100.00Current price is: KSh1,100.00.Add to cartMentor CBC ATLAS is in line with the Competency Based Curriculum. It is the most ideal ATLAS for learners and teachers in upper primary. This ATLAS effectively provides information on Counties in Kenya, Kenya and Eastern Africa as required by the Competency Based Curriculum. It also provides information on physical features, political boundaries, population distribution and economic activities.
This ATLAS is an essential tool for teachers and learners in Grade Four,Five and Six. The information in this ATLAS is presented in an easy-to-follow manner. Learners require minimum guidance to use this ATLAS.
ISBN: 9789966012227
-
Rated 0 out of 5
Oxford Advanced Learners Dictionary 10th Edition by Diana Lea
KSh2,077.00Original price was: KSh2,077.00.KSh1,870.00Current price is: KSh1,870.00.Add to cartThe Oxford Advanced Learner’s Dictionary is the world’s bestselling advanced level dictionary for learners of English.
Now in its 10th edition, the Oxford Advanced Learner’s Dictionary, or OALD, is your complete guide to learning English vocabulary with definitions that learners can understand, example sentences showing language in use, and the new Oxford 3000 (TM) and Oxford 5000 (TM) word lists providing core vocabulary that every student needs to learn.
ISBN: 9780194798617
Reviews
There are no reviews yet.