Storymoja Know More CRE Grade 3
KSh478.00 Original price was: KSh478.00.KSh430.00Current price is: KSh430.00.
Related products
-
Rated 0 out of 5
Storymoja Know More Kiswahili Grade 3 (Approved)
KSh394.00Original price was: KSh394.00.KSh355.00Current price is: KSh355.00.Add to cartKnow More Kiswahili Activities Kitabu cha Mwanafunzi wa Gredi 3 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya mtaala mpya wa kiumilisi ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika kitabu hiki zitamwezesha mwanfunzi kuwa na umilisi wa stadi mbalimbali. Sifa zake kuu
• Vipengee vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa ruwaza ya
mtaala mpya.
• Picha na michoro angavu kwa ajili ya kumwezesha mwanafunzi kuelewa matini.
• Shughuli tagusani kuhusu mada mbalimbali kwa mujibu wa ruwaza ya mtaala mpya.
• Uhusishaji wa shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji.
• Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa Kiswahili.
• Ushirikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
• Ujumuishaji wa masuala mtambuko katika shughuli za ujifunzaji.
Waandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana katika ufundishaji wa Kiswahili katika kiwango cha shule za msingi.ISBN: 9789966621481
-
Rated 0 out of 5
Mentor English Activities GD3 (Appr) by Oulo, Otieno, Ayieko
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMentor English Activities Grade 3 workbook is fully in line with the new Competency Based Curriculum. The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for the learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966059741
-
Rated 0 out of 5
Growing in Christ CRE Activities Grade 3 by Oxford
KSh380.00Original price was: KSh380.00.KSh340.00Current price is: KSh340.00.Add to cartThe Growing in Christ competency-based series is specially written to provide practical experiences that will build the learners’ knowledge and understanding of the Christian faith, as well as equip them with values, skills and attitudes that will assist them live well with self and others. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition of the core competences and values as well as an appreciation of pertinent and contemporary issues (PCIs).
ISBN: 978 019 574672 3
-
Rated 0 out of 5
Mentor Music Activities Grade 3 by Mentor
KSh488.00Original price was: KSh488.00.KSh440.00Current price is: KSh440.00.Add to cartMENTOR Music Activities Grade 3 workbook is fully in line with the Competency Based Curriculum (CBC).The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for a Lower Primary Learner. This book has been authored by teachers with a wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966012074
-
Rated 0 out of 5
MTP Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 3 (Approved)
KSh383.00Original price was: KSh383.00.KSh345.00Current price is: KSh345.00.Add to cartBoada ya kukitumia hiki kitabu, mwanafunzi ataweza:
- Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yoke.
- Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza kwa kiswahili.
- Kusoma kwa ufasaha na kufahamu aina zozote za maandishi ya Kiswahili.
- Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji.
- Kutumia sarufi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kutumia msamiati ufaao katika mazingira yake kuwasiliana.
- Kuonyesha ukakamavu katika kuwasilisha masuala yanayomkabili na yonayokabili mazingira yake
Reviews
There are no reviews yet.