Longhorn Kusoma na kuandika Katika Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi 3
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.
Kusoma na kuandika katika Kiswahili, Gredi ya 3 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi
wa maarifa.
Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo mema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari ili kukuza ujuzi wa mwanafunzi na kuimarisha stadi za kimaisha za kutatua matatizo ya wanafunzi katika jamii.
ISBN: 9789966640161
Reviews
There are no reviews yet.