Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Kwa nini Fisi Huchechemea by Olasya

Original price was: KSh327.00.Current price is: KSh295.00.

Vitabu vya sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kusoma na kuielewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii. Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa Ia Sita, Saba na la Nane, katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mitihani. Kwa Nini Fisi Huchechemea ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuburudisha na zenye mafunzo ya busara. Zitawafaidi wanafunzi wote watakaozisoma.

ISBN: 9966464255

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kwa nini Fisi Huchechemea by Olasya”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button