Nyumbani Kwetu 1a
KSh211.00 Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.
Related products
-
Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza by Yahya Mutuku
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNi wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili.
Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.ISBN: 9789966075604
-
Ziara ya Meno by Zawadi
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartZiara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?ISBN: 9789966788849
-
Dafina ya Ushairi by Ayubu
KSh322.00Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartDafina ya Ushairini diwani yenye kutoa mwanga katika
fani ya ushairi kwa shule za msingi. Huu ni mkusanyiko wa mashairi
mepesi ambayo yametungwa kufundi kwa kuangazia maudhui mapana tangia nidhamu,
maadil, bidii, elimu, mazingira na masuala mengine ibuka.ISBN: 9789966140180
-
A Wild Kick by Diane Omondi
KSh255.00Original price was: KSh255.00.KSh230.00Current price is: KSh230.00.Add to cartWhat do you do when you make a mistake? Sam and his friends are playing football near Mrs Otin’s house. By mistake, their ball breaks Mrs Otin’s window pane. What will they do?
ISBN: 9789966346513
-
Ahaa! Roda by Nyambeka
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartRoda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.
ISBN: 9789966075628
Reviews
There are no reviews yet.