Safari ya Chadi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Je, Umewahi kumzuru jamaa yako yeyote lakini ukapanda gari la umma silo? Mwandishi wa hadithi ya Ziara ya kutisha anasimulia jinsi alivyotatizwa na kuchanganyikiwa wapi alipokwenda. Je, atamwamini nani amwelekeze njia? soma hadithi hii, na nyingine za kusisimua, ugundue masaibu ya mwandishi na namna alivyoweza kuyakabili.
ISBN:9789966624024
Reviews
There are no reviews yet.