Skyline Tukijue Kiswahili Kitabu Cha Kwanza
Original price was: KSh389.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.
Skyline Tukijue Kiswahili kimetayarishwa na kuidhinishwa na walimu wenye ujuzi katika lugha ya Kiswahili.
-Kitabu hiki kimeundwa ili kusaidia wanafunzi kupata ujuzi wa kimsingi katika lugha ya Kiswahili.
-Kina uwakilishi wa picha za kutosha ili kuonyesha dhana anuwai.
-Kina sehemu mbali mbali za kufundishia ambapo mwanafunzi atapata ujuzi kwa urahisi.
-Kinatumia lugha rafiki na habari ya sasa ili kusaidia mwanafunzi kujijulisha na hati ya sasa.
-Kitabu hiki kina mazoezi ya kutosha katika sehemu teule yanayomsaidia mwanafunzi katika marudio.
ISBN: 9789914401769
Reviews
There are no reviews yet.