Nasaha Kamusi ya Misemo kimaudhui (KLB)
Original price was: KSh850.00.KSh795.00Current price is: KSh795.00.
Nasaha Kamusi ya Misemo Kimaudhui imeainisha misemo ya Kiswahili kimaudhui au kimuktadha wa matumizi. Misemo hiyo itamwelekeza msomaji au mtumiaji kuitumia vyema katika muktadha maalum.
Hapana shaka kuwa Kamusi hii ya misemo kimaudhui itawasaidia pakubwa wote wanaoienzi lugha yetu tukufu ya Kiswahili. Itakuza kwa kiwango kikubwa matumizi ya misemo za kiswahili kwa njia mwafaka.
Msururu huu wa Kamusi unaochapishwa na KLB pia una:
• Nasaha – Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo
• Nasaha – Kamusi ya Methali Kimaudhui
Reviews
There are no reviews yet.